Kila siku bado napokea majina ya kupendekezwa kwa blog mbalimbali na wengine wanafikia hatua ya kujaza form za kupiga kura za shindano lililopita. tafadhai tambua kua:-
1. Shindano la mwaka huu limeshakwisha
2. Hizi kura ukipiga au kuzijaza ingawaje ninazipikea hazina maana yeyote sasa hivi.
3. Mwaka kesho shindano lingine likifanyika halitakua linasimamiwa na mimi.
4. Kama kuna maelekezo yeyote ya shindano la mwaka kesho nikiyapata nitapost hapa.
No comments:
Post a Comment