Badges Na Certificates

Kama mwaka jana kwa yule atakayehitaji cheti cha kushiriki, kushinda, badge ya kushiriki au kushinda katika shindano la mwaka huu atuandikie. 

Tutashughulikia maombi hayo kwa muda wa mwezi mmoja tu. Ina maana mwisho wa kufanya hivyo ni mwezi wa 10/21/2013...baada ya hapo hatutatoa tena.

Shukurani

No comments: