Matokeo ya Tanzanian Blog Awards (2013)


Hongera kwa washindi wote walioshiriki. Kila mtu ni mshindi katika shindano letu hata kama hukushika nafasi ya kwanza. Kumbuka hizi kura zimepigwa na wasomaji wa blog za watanzania.

Shukurani kwa wale wote walioshiriki katika kupiga kura. Kura zote zilipokelewa ni nyingi lakini zilizohesabiwa ni 5200 baada ya kuangalia watu kama wawili (2 (IP addresses) ambazo walikua wanadelete cookies na kupiga kura back to back kwa blog mbili. Hizo tuliziondoa na kuangalia kila muda waliokua wanaingia kupiga kura tulihesabu kama kuna moja na sio 100 kama walivyokua wanapiga kwa dakika moja hadi tano kila mara wakipata muda wa kupiga...

Haya ndio matokeo yote kwa ujumla. 

   

The Best Agriculture Blog 
1. Mitikiti - Kilimo Kwanza 
http://mitiki.blogspot.com/

2. Shambani Solution  
http://shambanisolutions.blogspot.com/


3.  Sekata Ya Mifugo Tanzania
http://achengula.blogspot.com/


 

The Best Beauty/Fashion Blog
1. Jestina George 

2. Sheria Na Mavazi

3. Fia Bright Site
http://www.fiabright.com/

 

The Best Business Blog
1. Sokoni Bongo

2.  Amka Tanzania

3. Gshayo Blog
http://gshayo.blogspot.com/
The Best Creative Writing Blog  
1. Diary Yangu

2. Kisiwa Cha Mashairi

3. Kwa Mwanangu MpendwaThe Best Design/Graphic Design Blog
1. Bustani ya Habari
http://googlehabari.blogspot.com/

2. Dvj Sweetp
http://dvjsweetp.blogspot.com/

3. Eddy Blog 
http://eddymoblaze.blogspot.com/The Best Education Blog
1. Computer Experts 
 
2. Mandasi Technologies 

3. Inside It Worlds
The Best Entertainments Blog
1. Tabasamu na Fuledi 
http://www.tabasamunafuledi.com/

2. Mashaka Kisusi
http://mashakakisusi.blogspot.com/

3.  The Swaga Zone
http://theswagazone.blogspot.com/The Best Food Blog
1. Culinary Chamber

2. Tolly's Kitchen

3. Jinsi ya Kupika 
http://jinsiyakupika.com/

The Best General Blog
1. Hisia za Mwananchi
http://rashidijuma.blogspot.com/

2. Demasho News 
http://demashonews.blogspot.com/

3. Diary Yangu
http://miram3.blogspot.com/
The Best Inspiration Blog
1.Gospel Kitaa
http://gospelkitaa.blogspot.com/

2. Jielimishe Kwanza 
http://jielimishekwanza.blogspot.com/

3. Michuzi Blog
http://issamichuzi.blogspot.com/ 

The Best Newcomer Blog
1. Boss Ngasa

2. Jambo TZ

3. Jovina Bichwa
http://jovinbachwa.blogspot.com/


The Best News Blogs
Michuzi Blog
http://issamichuzi.blogspot.com/

Mwanaharakati Mzalendo 
http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/

Bugango Border
http://bugangoborder.blogspot.com/
The Best Photography Blog
1. Michuzi Na Matukio
2. Bugango Border

3. Kilimanjaro Official Blog 
http://kingjofa.blogspot.com/

The Best Political Blog

1. Mwanaharakati Mzalendo
http://mwanaharakatimzalendo.blogspot.com/ 
2. Siasa Za Tanzania
http://siasazatz.blogspot.com/
3. Ukaridifu 
http://ukadirifu.blogspot.com/
 

The Best Religion Blog
1.Mungu pamoja Nasi

2.Strictly Gospel 

3.Gospel KitaaThe Best Sports Blog
1. Shafifa Dauda

2. Jamii Na Michezo

3. Micharazo Mitupu
http://micharazomitupu.blogspot.com/ 
The Best Travel Blog
1. Karibu Bongo
http://karibubongo.blogspot.com/

2. Bugango Border
http://bugangoborder.blogspot.com/

3. Michuzi Blog
http://issamichuzi.blogspot.com/The Best Technology Blog
1. Computer experts 

2. Know Cache

3. Maisha Na Teknohoma
http://maishanateknohama.blogspot.com/

 


 

No comments: