The Best NewComer Blog

Tafadhali kumbuka kuwa kama blog yako haina zaidi ya sita ndio itakubaliwa kuingia katika kipengele cha the Best Newcomer blog. Na pia ukumbuke kuwa kama mwaka jana blog zote ambazo hazina zaidi ya miezi sita hazitaruhusiwa kushiriki katika vipengele vingine zaidi ya hicho cha newcomer blog tu. 

Hivyo hakikisha blog yako inaonyesha post za mwanzoni na tarehe ya mwanzoni kwa vile tutapitia blog zote na tukiona blog yako inastahili kuingia kwenye newcomer blog basi itaondolewa kwenye vipengele vingine na pia kama haina zaidi ya miezi sita basi tutaoindoa kwenye kipengele hicho. Sasa ukipenekeza blog yako katika kipengele cha the newcomer blog tu  hakikisha kuwa ni kweli ni blog mpya na haina zaidi ya miezi sita...

No comments: