Okay someone told me to put this post peke yake ......ni kuwa kuna uwezekano mkubwa kuwa mwaka huu ndio mwisho wa kufanya shindano letu jinsi tunavyofanya. Mwaka kesho hili shindano litaondoka
kutangaza washindi online na kuwa active (for profit) na ceremony either ikafanyikia
Dar es Salaam au mji wowote uatakaoonekana unafaa kufanya
sherehe ya kuwatangaza washindi hao...Kuna offers kadhaa ziko mezani
hivyo kama kila kitu kitakua kama kilivyopangwa mwaka kesho watu
watapewa awards zao katika ceremony itakayofanyikia katika ukumbi maalumu kwa shughuli hiyo na wanaotaka kuchukua hili shindano
wanasema wanawafadhili ambao wameshaonyesha nia ya kuwasupport.
The only
thing tunachotaka na negotiate zetu mpaka sasa ni kuwa shindano letu
libakie na malengo ya shindano hili kama yalivyokua mwanzoni. Kuwa ni
kuwatangaza bloggers wakitanzania wote bila kujali wanakoishi, status
zao, education zao, income, dini zao etc etc...
Hivyo
mpaka sasa 80% chances ni kuwa shindano hili mwaka huu ni wa mwisho
kufanyika kama
tulivyokua tunafanya kwa miaka hii mitatu sasa na kusimamiwa na
sisi...Kuna waliokua wnanataka kulipeleka shindano hili katika
association ya watanzania lakini kuna wengine wamekuja na offer na
hawataki mambo ya association. Hivyo inavyoelekea association ikianza
itakua peke yake na hili shindano litaendelea kuwa stand alone kipekee
na halitahisishwa na associaion yeyote na litakua kwenye mikono na uongozi wa watu wengine....
We
love you and will surely miss you guys ....but we hope hapo mwakani watakapokamilisha
mambo yote na kujua mahali litakapofanyikia tutaweza kuja na kuweza
kufahamina na bloggers wengi ambao tumekua tukiwasiliana nao often... It was a bumpy ride but it sure beats standing still. It was for the LOVE of the country that is why we made it this far.....
No comments:
Post a Comment