Shindano la Mwaka Huu ni Mwezi wa NANE

Tunapokea emails za wanablog wengi wakitaka kujipendekeza katika shindano la mwaka huu. Kwa wale wanaofuatilia blog hii nadhani mnaelewa tayari kuwa shindano la mwaka huu lilibadilishwa tarehe zake za kufanyika. Angalia post za nyuma ujue sababu za kubadilishwa kwa shindano la mwaka huu na pia soma FAQ yetu hapo juu uone tarehe za mwaka huu...

Tafadhali soma maelezo yote kabdla hujaamua kututumia email... Kutokana na emails nyingi tunazopokea hivyo kujibu email kwa kila mtu kipekee inaweza kuchukua hadi week. 

2 comments:

umar makoo said...
This comment has been removed by the author.
umar makoo said...

mashindano yatakuwa na category ngapi?