Mailing list hii hapa ni kwa ajili ya Tanzanian Blog Award

Toka tulivyopost jana kuhusu association mpya inayokuja hivi karibuni tumeona watu wengi sana leo wamejiregister kwanye mailing list yetu...Tafadhali tambua kuwa registration hii ni kwa ajili ya mailing list iliyokua hapa kwa siku nyingi na wala haihusiani na hiyo association mpya. Association mpya itakua na jina jipya na registration zao zitakua huko kwenye site hiyo. Hivyo link ya umoja huo ikiwa tayari tutaitangaza hapa kwa wanaopenda kwenda kujiunga wataenda huko...usije ukafikiria kujiregister katika mailing list hii hapa ndiyo tayari umekwisha kujiunga na umoja huo...
Shukrani

1 comment:

Anonymous said...

how can i join with this contest?