Directory List Update

Tumesafisha directory list yetu. Yako mambo kadhaa yalichangia blogs kadhaa kuondolewa katika directory list yetu.
Tumeondoa blogs ambazo:-
 
1. Broken links - Tumeondoa blogs zote ambazo link zake zipo dead. Kama umebadilisha jina la blog yako tuletee jina jipya tutaiweka. (itachukua 12 - 72 hours) ku update. Ukituletea jina lako subiri kwa muda huo kama bado hujaiona ndio utuandikie. kama unapost huko kwenye Face book ni kwa ajili ya wewe kujitanganza lakini kama unataka kuwasiliana na sisi tumia email. Hatucheck facebook kila mara hivyo hatutaweza kuiona. 
 
2. Inactive blogs - tumeondoa blogs zote ambayo hazijawa update kwa miezi 7 and up. Kama blog yako ipo active na hauioni basi ujue labda feeds zake haziwi update hivyo haijionyeshi kuwa ipo bado unaitumia au ndio imeshakufa. Rekebisha hilo halafu utuletee jina la blog yako....

Shukrani

No comments: