Mailing List

Tumeweka hii mailing list kwa wale wanaotaka kupokea matangazo na habari mbalimbali kutoka kwetu iwapo tunapata.

Kwa mfano hatukuchagua baadhi ya bloggers kuwatumia email za Christmas bali hizo ndio contact zilizo kwenye list yetu.

Hivyo kama unataka kupokea add email yako kwenye hiyo mailing list tuliyoiweka hapo. Hii mailing list siyo ya post tunazoziweka hapa bali kama kuna tangazo mtu ametutumia na anaomba liwafikie bloggers wote basi ndio tunatumia hii mailing list. 

Shukrani
3 comments:

kishymba said...

Ni kweli kabisa huwa natafuta sehemu ya kupata matangazo ili niweze kufanya blog yangu ijulikane kila pembe ya tanzania Email yang ni kishimba1@gmail.com

kishymba said...

habari ya kazi boss kwanza naonza kuomba kwa samahan,,,,pil kwa sasa tume badil email yetu kutoka kishimba1@gmail.com kwenda info@samwelurassa.tk na pia jina la website yetu iko vissible mara mbil yan www.kishymba.blogspot.com na www.kishymba.tk nilipenda kuwasilishahil kwenu wadau

Alicia Rutajumbukilwa said...

Naitwa alicia Rutajumbukilwa ni blogger mpya kabisa sababu nina mwezi mmoja tu na ila niko interested sana ila nina changamoto kubwa ya kupata posts,naamini tutashirikiana sana Email yangu ni aliciarutajumbukilwa@gmail.com na blog yangu ni rutaalicia.blogspot.com,unaweza kuitembelea na kuiona pia,naitaji ushirikiano wa khali ya juu