Je wewe ni mfanyabiashara Tanzania?

Kama wewe ni mfanyabiasha na ungependa kufanyiwa mahojiano na mwanablogger mwenye blog inayohusu mambo ya biashara basi please naomba uwasiliane na sisi. Kuna blogger anaomba msaada wa kupata wafanyabisahara mbalimbali Tanzania ili kufanya mahojiano nao.

Mahojiano hayo sio kuhusu maisha yako binafsi (well, unless you wanna talk about it :D) bali ni kuhusu mafanikio na changamoto kama mfanya biashara Tanzania, ni jinsi gani ulipata idea ya kuanzisha biashara, na mambo mengine yanayohusu kujiajiri Tanzania..

Yes, mfanya biashara yeyote yule nchini Tanzania. You don't have to make billions of tshs to be interviewed.  Thanks in advance...

2 comments:

emu-three said...

Mpendwa twashukuru kwa offa hiyo, natumai wafanyabiashara wataichangamkia

Anonymous said...

NY CHECK ME OUT WWW.PANDEHIZI,COM/WWW.PANDEHIZI.BLOGSPOT.COM FOR ALL DEALS IN DAR SELL BUY CHAT NEGOCIATE, AND SO MUCH MORE