Tanzanianblogawards@gmail.com sio ya mtu mmoja

Kila siku tunapokea emails za mialiko kutoka kwa watu katika social networks mbalimbali kama vile Linkedin, Facebook, Quepasa, Myspace, Badoo, etc etc. Msifikirie kuwa hatutaki jiunga huko bali muelewe hii site sio ya mtu mmoja.  Mimi hapa ninafanya mambo yote na kuwasiliana na watu mbalimbali yanayohusu site hii lakini kuna watu wengine pia hivyo nashindwa kujiunga huko kwa vile nitakua nawakilisha watu wengine pia na idea zao nje ya site hii.

Kwa hiyo tanzanianblogawards email ni kwa mawasiliano yanayohusu hii site tu na sio account ya mtu binafsi.

ShukraniNo comments: