Tangaza blog yako

Hii ni blog ya kusaida watu watanzania wote kupromote blog zao. Hivyo kama unataka kuwekwa kwenye featured weekly blog, una kitu chochote unataka kutangazia watu kuhusu blog yako, au blog yako ni mpya tuletee tutakuwekea post hapa bure (FREE)

Nasema hivyo kwasababu ninashwangazwa sana na traffic ya hii blog kila siku. Sasa hivi hakuna shindano lolote linalooendelea lakini unique visitors per day ni 100 plus na page views ni average 350 kwa siku. Hivyo kati ya hao watu wanaoingia huku mmoja anaweza kukuta blog yako na kuipenda. Ukijiengezea japo msomaji mmoja kwa mwezi sio jambo baya katika hii fan ya kublog...

6 comments:

emu-three said...

Kweli mpendwa nimekukubali, tunashukuru kwa wema wako huo

Godlisten Silvan said...

mambo vipi wapendwa wangu mm nilikuwa na wazo linaloendana na nyie ni hivi mmnimeamua niwe naweka kwenye blog yangu topic inayohusu kufanya mahojiano na mwana blog yeyote namtumia maswali yeye anayajibu kwa wakati wake alafu akishajibu anaambatanisha na picha yake au log ya blog au website yake,sasa basi kwakusaidia watu wa blog wajulikane na blog zao ningeomba kama inawezekana nahiyo habari niwenawarushia muwe mnaiposta hapa hii itasaidia zaidi watu wa blog kujulikana na kupata wasomaji zaidi.
labda kwa anayehitaji kufanyiwa mahojiano anaweza kuwasiliana na mimi,
godlistensilvan@gmail.com
karibuni ktk blog ya Gshayo
www.gshayo.blogspot.com

Admin said...

@Godlisten kuhusu swali lako hakuna shida kabisa....kama nimeelewa swali lako vizuri sisi hatuna neno kabisa but I guess it will be better kama tukikuwekea habari hiyo hapa kwa ufupi halafu the whole story iwe huko kwa blog yako ..Ili watu waje kusoma yote huko na kuona post nyingine. Tukipost habari yote hapa ..watu wataishia hapa na wasije humo...sijui umenielewa.....

mwinyi blog said...

Ni jambo zuri kwa watu kujua blog mbalimbali ili kupata mambo tofauti tofauti ya hapa na pale, kwa upande wangu nasema asanteni sana kwa kuwa tunahitaji kujulikana blog zetu. Napenda kuwakaribisha katika blog yangu www.mwinyially.blogspot.com

Afya Yetu said...

Hiyo ni njema

Bin Ruwehy said...

Ok wadau wangu fanyeni kuitangaza na yangu hii hapa www.binruwehy.blogspot.com