Mwisho wa kuchukua badge ni July 31st 2012

Mwisho wa kuchukua badge yako kwa shindano la 2012 ni tarehe 31 July. Wale wote ambao wanahitaji tafadhali tutumie email. baada ya hapo hatutatengeneza tena.

Na kama unahitaji tafadhali usiache message kwenye comment tuandikie tanzanianblogawards@gmail.com.  Inakua rahisi kupata message yako.

Na kwa certificates ni kuwa mwaka huu nilioutsource zoezi hilo lakini imechukua muda mrefu kuliko nilivyotegemea. Hivyo be patience with that..mara nitakapozipata nitawatumia wale wote walioziomba.

Thanks and keep blogging

No comments: