Wasioweza kuziona hizi form za kupigia kura {????]

Kuna watu wametuandikia kuwa hawaoni hizi form za kupiga kura kwenye computer zao. Kwa kweli sielewi tatizo ni nini kwa sababu tulitumia hizi hizi kwa mwaka jana na hatukupata shida yeyote. Labda kama unatumia computer ya kazini na zimekuwa blocked kuonyesha hizi (sina uhakika) kwa hili lakini najaribu kufikiria ni kwa nini wengine waweze kuona na wengine wasiweze kuziona.

Nimezihamishia katikati kwa vile nimecheki kwa kutumia computer zenye screen size tofauti na nikabadilisha kwa resolution tofauti na nikaziona bila matatizo..

Ila kama unatumia simu nina uhakika hutaweza kuona kama utaacha kwenye phone settings lazima ubadilishe ndio utaona..

Anyway naweka link kwa Facebook kama uko huko utaweza kuona humo..

1 comment:

Anonymous said...

Sasa zinaonekana tunashukuru, na kazi njema