Lala Salama

kam hujapiga kura zimebakia siku chache tu za kufanya hivyo. Please piga kura yako sasa hivi usisubiri siku ya mwisho na kuanza kulalamika kwa nini form zimeondoka. Mwisho wa kupiga kura ni saa 5.59 PM saa za Africa Mashariki.

Na kwa wale waliotutumia email zao za kuvolunteer tunashukuru sana. Tumejibu wa chache lakini kuna wengine hatujajibu bado. Hivyo baada ya shindano hili tutajitahidi kuwasiliana na wote ili tuone ni wapi wanataka kuchangia au ujuzi wao ni wapi utahitajika zaidi ili kuboresha kila kitu katika shindano hili siku sijazo.
Shukrani


3 comments:

Anonymous said...

mwisho wa kupiga kura ni saa 5.59..... ya lini?

Anonymous said...

tunashangazwa na zoezi la kupiga kura kuisha saa SITA MCHANA BADALA YA SAA SITA USIKU...

Admin said...
This comment has been removed by a blog administrator.