Matokeo

Matokeo yatakua hapa baada ya saa sita usiku saa za africa mashariki..Utaweza kuona kwa   % ya ushindi katika ballots zetu kwa muda wa saa moja tu na wakati huo utaweza bado kupiga kura..Baada ya muda huo kura zikifungwa haitaweza kuonyesha tena..

Hivyo Kesho tutapost washindi kwa rosta kamili kama ilivyo.

Asanteni sana wote mlioshiriki katika shindano letu na pia tukumbuke hii yote ni kwa ajili ya kuhamasisha watu katika hii tasnia nchini na sio vingine. Hivyo wote ni washindi bila kujali matokeo..

Tumeshakamishisha hatua za mwanzoni za wadhamini kwa shindano la mwakani..Ila kuna mmoja anataka kudhamini blogger of the month (kila mwezi kuwe na mshindi mmoja na apate zawadi). Hivyo tutawajulisha ni vipi blogger huyo atakua anachaguliwa, ni mwezi gani tutaanza kufanya hivyo na ni zawadi gani blooger huyo atapata tutakapo kamilisha kila kitu..

Asanteni sana wote kwa ushirikiano wenu...

No comments: