Watangazie Wasomaji Wako Waanze Kukupendekeza Jumamosi 1st April

Sasa hivi tuwaomba watu wafuate sheria. Hivyo tumejitahidi kuweka Badges  zikusaidie wasomaji waelewe blog yako ni ya nini. Kama blog yako inaweza kushiriki katika vipengele tofauti basi ni vizuri uweke badges zote unazotaka watu wakupendekeze. Kama unaona blog yako inajieleza yenyewe kuwa inahusu nini basi chukua badge inayowashauri wasomaji wako wakupendekeze tu kama utapenda.

Sasa hivi kama blog yako imependekezwa kwenye kipengele ambacho haihusiani tukiiondoa hatutaiweka kwenye kipengele tunavyofikiria kuwa inastahili. Na pia kupendekeza blog yako kwa kila kiengele haikuengezei nafasi ya wewe kushiriki..Hivyo jitahidi sana kuzingatia sheria...

Jinsi ya kuweka hizi badge. 

1. Unaweza kuweka kama picha (add a gadget) halafu link iweke www.tanzanianblogawards.com ili iwasaidie wasomaji wako waweze kuingia kwa urahisi...

2. Tutaziweka hapo pembeni kama grab a badge uiweke kwa kutumia add a gadget ( html code)


Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

PhotobucketPhotobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket


Photobucket

1 comment:

emu-three said...

Tupo pamoja ndugu yangu pole na kazi hii hii kubwa ya kuwajali wenzako.