Badges na Jinsi ya Kuziweka

Okay sasa nimeweka badges zote zitakazoshindaniwa. Chagua unazotaka uweke kwenye blog yako ili wasomaji wako waweze kukupendekeza..Muda wa kupendekeza ni miezi miwili..Hatutaengeza muda kama mwaka jana na pia number ya idadi iliyopendekezwa blog yako ndio zitakozoshirikiswa..Kama kipengele hakina mshiriki/washitriki wa kutosha kitaondolewa..

Jinsi ya kutumia hizo badge ni wewe upendavyo..Kama utaweka kama picha na kulink hii blog ili wasomaji wako wapate urahisi wa kuingia humu ni juu yako..Naomba nieleweke kutumia hizi badges sio lazima na wala ukitumia au usipotumia haitakupunguzi nafasi ya ksuhiriki katika shindano letu. Ni something kitakachokusaidia ili wasomaje wako wajue blog yako inazungumzia mambo gani au wewe mwandishi unafikiria blog yako inastahili kushirikiswa katika categories gani.  Mwaka jana kuna blogs nyingi sana zilipendekezwa sehemu wala hazistahili. Na mwaka huu kama tulivyosema tukiona blog yako imependekezwa kusiko stahili tutaiondoa na wala htutaihamishia kwenye topic tunayooona inaendana na blog yako..


Na pia kikubwa cha kuzingatia ni kuwa kama blog yako ina miezi sita au less tafadhali tambua kuwa kipengele itakachoruhusiwa kushiriki ni newcomer blogs tu. 

Jinsi ya kuweka

1. Save picha kwenye  hard drive yako
2. Nenda kwendy dashboard
3. Nenda kwenye design
4. Add a gadget
5. Picture
6.Upload picture uliyosave
7. weka link www.tanzanianblogawards.com
8.Save

Kama huna jinsi ya kusave picture kwenye computer yako basi niandikie nitatengeneza special code kwa badges unazotaka ambazo utaweza kuiweka hiyo picha kwa kutumia codes hizo ..Ila badala ya kutumia  add gadget as a picture utatumia html/java script ...Nitakutengenezea hizo codes kama utanitumia email kabla ya tarehe 14 April tu... .

No comments: