Jina La Blog Kubadilishwa

Tunafurahi kuwatangazia wote kuwa kutokana ana ushauri na maombi ya watu wengi. Jina la blog yetu litabadilika kutokana na kupanuka kwa blog yetu. (jina jipya litakuja soon)  Baada ya kusikiliza ushauri wa wengi wa kutaka hii site iwe active kwa mwaka mzima na sio wakati wa mashindano tu, tunafurahi kuwaeleza kuwa aggregator ya blog na new sites za Tanzania itakuja hivi karibuni. Hiyo site itawawezesha pia watu binafsi kushiriki kupost link za post zao kutoka kwenye blog zao au kupost habari nyingine wanazoziona kwanye blog mbalimbalia za  watanzania ambazo wangependa watu wengine wafahamu. Itakua ni blog lakini ila itawafanya wengi kushiri wenyewe.  Hivyo itakua aggregator  ambayo ni community  friendly na watu wataweza kuadd link za blog zao wenyewe kwenye site.

Tafadhali tambua kuwa shindano letu litabakia kua na jina hili hili la Tanzanian Blog Awards. Ila haitakua na stand alone blog tena kama sasa baada ya shindano la mwaka huu. Hii website itakua inaingilika kwa jina hili mpaka mwaka kesho mwishoni baada ya hapo hii blog itakua chini ya Tanzania Blog and news aggregator yetu. 

Asanteni sana na tunawashukuru sana kwa ushirikiano wenu. Tusingeweza kufanya haya yote bila maoni na mapendekezo kutoka kwenu.

Thanks 
Photo credit will cave blog

2 comments:

emu-three said...

Tumekupata ndugu yetu Tupo pamoja

Mr. Jokes said...

Oky sawa sawa! Itakuwa vizuri sana