Kwa wale wanaohitaji picha za bure hizi ni baadhi ya sites muhimu kuzifahamu

Kama wewe una blog au unataka kupublish kitabu basi hizi sites ni vizuri kuzifahamu. Site zingine zinakuruhusu kutumia picha yeyote bure na nyingine unalipa kidogo tu.

 
Kama una blog na unategemea au kupendelea blog yake itaweza siku moja kuingia katika anga za kimataifa basi jitahidi sana uwe unajifundisha tabia ya kufuata sheria za copyright. Blog yako ikishakubalika lakini wakigundua picha zako ni za kucopy na kupaste kutoka kwa blogs nyingine au sites nyingine basi itapunguza credibility kabisa. Picha za kucopy na kupaste bila ruhusa mara nyingi huwa zinapunguza hadhi ya blog kwa watu wanaopenda originality na respect. Watu wengine wanafikiri bloggers wanaopenda kucopy na kupaste tu bila kuomba hata ruhusa au kutoa heshima kule walikotoa hizo picha basi hawajali au hawana heshima kwa kazi za wengine.  Hivyo cha muhimu kuzingatia ni unapoweka post yako na kama unataka kutumia picha kuna site nyingi ambazo utapata picha nzuri sana kwa bure. Picha hizo za bure nyingine wala huhitajiki kuandika kitu chochote au kuwashukuru ili mradi umefuata masharti yao kama yapo. Kwa kujizoesha kutumia picha hizo utajiongezea sana heshima katika blog yako..

Site zipo nyingi lakini hzi ni baadhi tu:-

Hapa kuna picha nyingi sana ila nyingi zinazouzwa lakini ni rahisi sana. Halafu ukisha nuunua umemalizana nao ni royality free. Kama unahitaji kwa kazi ya biashara au kuchapisha kitabu basi hapa ni pazuri lakini kama ni blog angalia hizi za chini
Hizi hapa ni nzuri lakini nyingi ni low resolutions. Hizi ni nzuri kwa website na blogs tu. Bure kudownload hapa..
Hawa wana picha nyingi sana, nzuri sana na picha zao zina cover karibu topic zote.  Ila agreement zao ziko too complex. Hivyo kuwa mwanagalifu au soma fine prints zote ukiwa unatafuta picha hapa.
4. Free Media Goo
Hii ni library yao ni ndo na ni low resolutions lakini picha zao ni nzuri pia. 
Kwa still picha na video hapa unapata bure
Hawa category zao ni nzuri na ni rahisi kupata picha unayoitaka ila collection yao sio kubwa sana
Hawa library yao ndi ndogo lakini picha zao zina quality ya juu sana.
Hawa hawanasheria yeyote na wala sio lazima kuregister ili kuweza kuchuku a pich. na uzuri wa hawa ni non profit org hivyo hawana matangazo yeyote.
Huyu ana picha nzuri lakini sio nyingi. Na hana sheria yeyote kabisa na nimeshatumia picha zake mbili ni nzuri sana. Ila anachokuomba ni kuwa umsaidie ku spread the word kuhusu site yake...
Hawa category yao ni nzuri unaweza kutafuta picha kwa size unayotaka, kwa kutumia rangi, neo au iliyopata high ratings.
11. Flickr
Picha nyingi sana ila angalia amabazo watu hawajweka creative copy au kulink na getty image.
Huyu ana picha nyingi nzuri akini nyingi ni za kununua kuliko za free..
Hii nayo ni nzuri na ina picha nyingi sana
Hapa ukisharegister tu basi picha ni za bure
Zingine ni hizi

No comments: