Mwisho wa Kuclaim Certificates ni August 6, 2011

Tunataka kuwatangazia wote walioshiriki katika shindano letu la mwaka huu 2011 kuwa mwisho wa kutuandikia kutaka certificates ni August 6, 2011. Tutaweka grab on badges hapa kwa mtu yeyote aliyeshiriki ataweza kuchukua ya kwake kwa wakati wowote ule lakini certificates ni lazima utuandikie tukutumie. Sasa kama hujapokea certificates yako/zako zote kwa kushiriki shindano letu au kwa ushindi ulioupata basi tuna week mbili tu kwa kushughulikia hayo. Baada ya hapo tutaanza kushughulikia mambo mengine na kuhusu shindano la mwakani.Tafadhali ukiwasiliana na sisi andika jina la blog yako na kipengele ilichoshiriki ili kuturahishishia kutambua cheti cha na kukutumia. 

Tunashukuru sana kwa ushirikiano wenu...

No comments: