Categories tulizomaliza kutuma badges

Tunapenda kuwaambia wote walioshiriki katika kipengele cha Best Advertising/Marketing Blog, Best Beauty Blog na Best Collaboration, Group Blog, Best Design Blog, Best Education Blog, Best Informative - Lifestyle Blog na Best Informative - Entertainments Blog  kuwa tumeshamaliza kuwatumia badges na vyeti vyao. Kama jina la blog yako lipo hapo kwenye kipengele kilichotajwa hapo juu na hujapata email kutoka kwetu basi labda hatujaona email katika blog yako, email yako imerudi au unatumia contact form tu kuwasiliana na wasomaji wa blog yako. Hivyo wasiliana na sisi kama unahitaji badge yako ya kuonyesha kuwa ulishiriki katika hili shindano


Na wengine wa vipengele vilivyobakia kama huna email kwenye blog yako basi tutumie...

1 comment:

Anonymous said...

JE na number mbili na tu wanapata badge? katika vipengele ulivyo taja hapo best music blog niliyoshinda haipo ..i hope to receive e-mail form you soon.
www.bongoflavortz.blogspot.com

E-mail: bongoflavortz@yahoo.com

TANZANIAN BEST MUSIC BLOG -WINNER
TANZANIAN BEST COLLABORATION BLOG -SECOND RUNNER UP
TANZANIAN BEST DESIGN BLOG -SECOND RUNNER UP
TANZANIA BEST ENTERTAINMENT BLOG -THIRD RUNNER UP
TANZANIAN BEST LIFESTYLE BLOG -THIRD RUNNER UP