Ambao hawajapokea email mpaka sasa kutoka kwetu

Tunaomba wale wote ambao hawajapokea email kutoka kwetu basi wacheck junk mails zao kama hakuna email yetu basi watuandikie. Tunaomba kila mwenye kutala badge yake kama hajaipata basi atuandikie kwa email yetu na usiache kwenye comments humu. Ukituandikia tuandikie na jina la blog yako kama unatumia email ambayo haitaji jina lako. Na pia ili kuturahisishia naomba uandike na title ya blog yako...

Pia tumetuma badges kwa walioshiriki sasa kama umeshiriki lakini hujapata email yetu basi tuandikie tukutumie badge yako

4 comments:

mgagagigikoko bulicheka said...

naomba niwekwe kwenye Directory yenu. blog yangu ni ndambile.blogspot.com

mgagagigikoko bulicheka said...

naomnba blog yangu iwekwe katika directory yenu. jina lake ni ndambile.blogspot.com

Abdallah Majid Nassor said...

asanteni sana nimeiona blog ya jamii mmeiweka. kweli nimeamini kuwa Tanzanian Blog Awards ni ya watanzania kwa ajili ya watanzania. good job

Kibunango said...

Salamu,
Blog yangu inaitwa Vituko vya Zenj, pamoja na kuwepo kwenye Blog Directory List ya blog hii sijawahi kupata email yoyote toka kwenu. Email yangu ni kibunango@gmail.com.

Natanguliza shukrani.