Best Wedding Blog Nomenees

Tunatoa shukurani kwa wote walioshiriki kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano letu. Hapa chini ni majina yaliyopendekezwa katika kipengele hiki. Tafadhali  zingatia kuwa haya majina yamependekezwa  na watu mbalimbali. Hivyo tutapitia kila blog iliyopendekezwa na kuona kuwa imekidhi masharti ya shindano letu  na inastahili kweli kuwekwa katika hichi kipengele. baada ya hapo tutawasiliana na wenye blog hiyo kama watakubali kushirikishwa katika shindano letu basi majina yao yataingia kwenye ushindani wa kupigiwa kura kumtafuta mshindi katika kipengele hiki. Kama hakuna kipengele hiki kitaondolewa katika mashindano.


www.mrokim.blogspot.com

Hiki kipengele kimeondolewa. Kama unavyoona ni blog moja tu ilip[endekezwa hivyo haitakua vizuri kuweka watu wapige kuara na blog kivuli. Mwaka ujao tutajaribu kuweka hiki kipengele tena labda zitapendekezwa nyingi zinazostahili kushirikishwa hapa. 
 

  

This Category is official removed as you can see we have received only one nomination 

No comments: