Most Humorous Blog Nomenees

Tunatoa shukurani kwa wote walioshiriki kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano letu. Hapa chini ni majina yaliyopendekezwa katika kipengele hiki. Tafadhali  zingatia kuwa haya majina yamependekezwa  na watu mbalimbali. Hivyo tutapitia kila blog iliyopendekezwa na kuona kuwa imekidhi masharti ya shindano letu  na inastahili kweli kuwekwa katika hichi kipengele. baada ya hapo tutawasiliana na wenye blog hiyo kama watakubali kushirikishwa katika shindano letu basi majina yao yataingia kwenye ushindani wa kupigiwa kura kumtafuta mshindi katika kipengele hiki. Kama hakuna kipengele hiki kitaondolewa katika mashindano.


Hiki kipengele kimeondolewa. Baada ya kupitia hizi blogs zilizopendekezwa hapa tumeona ni moja tu ndio inayostahili kuingia hapa kwenye shindano letu katika hiki kipengele. Hivyo haitakua vizuri  kuwawekea watu wapige kura na blog kivuli. Mwaka ujao tutajaribu kuweka hiki kipengele tena labda zitapendekezwa nyingi zinazostahili kushirikishwa hapa.  

Lakini blogs zilizopendekezwa hapa zote tumezihamishia kwenye vipengele tunavyoona vinavyostahili...



http://www.ankomo.blogspot.com


http://www.itsdar.net/

laprincessaworld.blogspot.com

www.bugangoborder.com
http://chekaupasuke.blogspot.com/

No comments: