Best Science or Technology Blog Nominees

Tunatoa shukurani kwa wote walioshiriki kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano letu. Hapa chini ni majina yaliyopendekezwa katika kipengele hiki. Tafadhali  zingatia kuwa haya majina yamependekezwa  na watu mbalimbali. Hivyo tutapitia kila blog iliyopendekezwa na kuona kuwa imekidhi masharti ya shindano letu  na inastahili kweli kuwekwa katika hichi kipengele. baada ya hapo tutawasiliana na wenye blog hiyo kama watakubali kushirikishwa katika shindano letu basi majina yao yataingia kwenye ushindani wa kupigiwa kura kumtafuta mshindi katika kipengele hiki. Kama hakuna kipengele hiki kitaondolewa katika mashindano.

Hiki kipengele kimeondolewa baada ya kuangalia blog zilizopendekezwa tumeon ni blog moja tu ndio imefit hiki kepengele. Hivyo haitakua vizuri kukiweka na kupendekeza blog moja tu na blog kivuli. Tutajaribu tena mwakani...Lakini blogs zilizopendekezwa hapa zote tumezihamishia kwenye vipengele tunavyoona vinavyostahili...


http://itycoon4idevices.blogspot.com
www.jigambeblogs.com
http://sherianamavazi.blogspot.com/
http://oswinking.blogspot.com

No comments: