Nomenees For Best Audio/ Video Blog

Tunatoa shukurani kwa wote walioshiriki kupendekeza majina ya blogs za kushiriki katika shindano letu. Hapa chini ni majina yaliyopendekezwa katika kipengele hiki. Tafadhali  zingatia kuwa haya majina yamependekezwa  na watu mbalimbali. Hivyo tutapitia kila blog iliyopendekezwa na kuona kuwa imekidhi masharti ya shindano letu  na inastahili kweli kuwekwa katika hichi kipengele. baada ya hapo tutawasiliana na wenye blog hiyo kama watakubali kushirikishwa katika shindano letu basi majina yao yataingia kwenye ushindani wa kupigiwa kura kumtafuta mshindi katika kipengele hiki. Kama hakuna kipengele hiki kitaondolewa katika mashindano.

Hiki kipengele kimeondolewa. Baada ya kupitia hizi blogs zilizopendekezwa hapa tumeona kuwa hakuna hata moja ilistahili kupendekezwa katika kipengele hiki. Kwa vile hapa zilikua zinahitajika podcast and video blogging. Mwaka ujao tutajaribu kuweka hiki kipengele tena labda zitapendekezwa nyingi zinazostahili kushirikishwa hapa. 
  
oswinking.blogspot.com
http://jobstanzania.blogspot.com
http://www.bongotyube.com/

No comments: