Blogs zilizopita katika shindano letu la 2012


Hongera kwa bloggers wote ambao majina yao yalipendekezwa kushiriki katika shindano hili la mwaka 2012.  You are all winners no matter what....

Baada ya kutembelea blogs nyingi tumeona kuwa sio watu wengi wanatumia badges tunazozitengeneza. Hivyo kwa mwaka huu tutaweka ya aina moja tu lakini kama unataka maalumu ya kipengele blog yako iliyopendekezwa basi utuandikie tutakutumia.  Kama kutakua na maombi ya watu wengi basi tutazitengeneza na kuziweka hapa lakini kama ni watu wawili watatu tu basi wengine wale wanaopenda watatumia hii tutakayoiweka ya mwaka huu. Lakini mwisho wa kuomba hizo badges ni Jumatano. Baada ya hapo itakayotumika ni hii moja tu.

Kura zitaanza kupokelewa jumatatu  tarehe 17th June na mwisho wa kupoke ani tarehe 30th June. Ni kwa muda wa wiki mbili tu...

Majina yaliyoingia mwaka huu katika vipengele vyetu ni  haya :-


Best Beauty/Fashion or Style Blogs

Best Collaborative or Group Blogs 

Best Educational Blogs

Best Entertainments/Music or Humor Blogs

Best Entrepreneurial Blogs

Best Family or Personal Blogs

Best Inspiration Blogs
http://Issamichuzi blog

Best Newcomer Blogs

Best News

Best Out Of Towner Blogs

Best Poetry or Writing Blogs

Best Political Blogs

Best Photography Blogs

Best Religion Blogs

Best Sports Blogs

Best Science or Technology Blogs

Best Travel Blogs

10 comments:

Unknown said...

asanteni na hongereni wote tuliofanikiwa kupita
sasa sijui utaratibu wa kupiga kura unakuwaje.tunaomba muongozo tafadhali

Anonymous said...

MNAPENDELEA SANA HII BLOG ILIKUA NA TATIZO GANI ISIWE KWENYE KIPENGELE CHA NEW COMER KILIMANJARONEWS. BLOGSPOT.COM HAMANA JIPYA BALI UBABAISHAJI TUUUU. TUTOLEENI USHURO WENU

Anonymous said...

MNAPENDELEA SANA HII BLOG ILIKUA NA TATIZO GANI ISIWE KWENYE KIPENGELE CHA NEW COMER KILIMANJARONEWS. BLOGSPOT.COM HAMANA JIPYA BALI UBABAISHAJI TUUUU. TUTOLEENI USHURO WENU

emuthree said...

Tupo pamoja mpendwa

Nolniz said...

Safiii!!! & Pls I need your support waTz wenzangu katika hii blog ikifikia kipindi cha Kura ipate hiyo Best Newcomer Award..! Shukrani kwenu http://nolniz.blogspot.com

Admin said...

Anonymous hapo juu wa Kilimanjaro news..Kwanza ukumbuke hizi blogs zilipendekezwa na watu. Tulianza na zile zilizopendekezwa zaidi. Kama haikufikia kiwango au haikuwa inastahili kuingia kwenye kipengele hicho tulifuata ya chini yake. Sasa labda ya kwako ni nzuri lakini haikupendekezwa zaidi ya hizo hapo juu. Tulivyowaambia watu wapendekeze blogs zao tulikua hatuplay with their minds. Tulikua tunasema ukweli. Walioshukua muda wao kupendekeza blogs zao kwa wingi ndio unazoziona hapo juu..

Sorry you feel that way next year jitahidi kuwaambia wasomaji wako wakupendekeze kwa wingi. Hatukuchukua blog just b'se ni nzuri kwanza tulianza kwa zile zilizopendekezwa mara nyingi..

Anonymous said...

Admin, sina tatizo sana uchaguaji wenu kwa sababu vigezo mahususi zaidi nyinyi ndio mnavijua. Mimi ni msomaji wa blogu ya Biafra Sports Club (www.biafra-jogging.blogspot.com) ambayo ilipendekezwa mara nyingi na kwenye vipengele vingi na nilitarajia kabisa kwamba kuna vipengele isingiweza kuingia kulingana na 'content' zinazowekwa kwenye blog husika, ila hata kipengele cha Best Sports Blog haipo. Labda kama waweza niambia ilikuwa 'ranked' ya ngapi kati ya hizo zilizoingia?

EDITOR said...

MUONGOZO JINSI YA KUPIGA KURA TAFADAHALI ILI WADAU WAPIGE KURA KWA SANA

EDITOR said...

MUONGOZO JINSI YA KUPIGA KURA TAFADAHALI ILI WADAU WAPIGE KURA KWA SANA

EDITOR said...

NAOMBA KWENYE CATEGORY YA BEST POLITICAL BLOG NAOMBA MMALIZIE VIZURI BLOG HII MWANAHARAKATIMZALENDO.BLOGSPOT.COM