Haya ni maswali kwa wale wanaotaka blog zao ziwe featured hapa...Ukirudisha unaambatanisha na picha unayotaka iwekwe pamoja na mahojiano haya. Yapo kwa kiswahili na chini ni kwa kiingereza. Chagua lugha yeyote unayopenda
Kiswahili
- Unaweza kutuambia kidogo kuhusu wewe na blog yako?
- Je, wewe kazi yako ni kublog tu au hii ni kama kazi ya muda tu au hobby?
- Jinsi gani unaanza kublog na kwa nini?
- Nini changamoto unazozipata kwa kuwa na blog?
- Ni miaka mingapi sasa umekua ukiblog?
- Unafanya nini wakati ukiwa hushughulikii hii blog yako?
- Ni mara ngapi unafikiri juu ya blog yako wakati uko mbali na kompyuta?
- Ni nani wasomaji wa blog yako?
- Je ni mitandao gani mingine ambayo unatumi ili iweze kukusaidia kuitangaza blog yako ili iwafikie wasomaji walengwa wa blog yako? Mfani Twitter au Facebook
- Nini hasa ni changamoto kubwa wakati unatengeneza posy ya kuweka kwenye blog yako na kwanini?
- Unafanya nini iwapo kuna wakati huna la kuandika kwenye blog yako?
- Je ni nini mkakati wako na blog yako kwa ujumla?
- Je ni bora kupata ukweli au uchunguzi wa jambo unalotaka kuliandika kwenye blog yako wewe mwenyewe au kupitia mtu mwingine?
- Ni jambo gani bora blogger anaweza kutoa kwa wasomaji wake?
- Ni jinsi gani (mtu) anaweza kuelezea style ya yako unavyo blog?
- Ni nini imekuwa mkakati wako kwa ajili ya kujenga kujulikana kwa mwenyewe na blog yako?
- Kila mtu ana post anayoipenda au anayoichukia. Je wew ni post ipi unaipenda sana na kwanini? Na ni posy ipi unaichukia sana na kwanini?
- Je ni bloggers wapi ambao wewe unawaangalia na kufuata nyayo zao? Na kwanini?
- Hebu tuambie ni watu gani umewahi kukutana nao wakati ukisughulikia post za kuweka kwenye blog yako?
- Je unafikiria kuwa unadaiwa na mtu akiyeacha comment/s kwenye blog yako?
- Je kunadhamani kujibu comment iliyoachwa kwenye blog yako wakati ukijua kuwa huyo aliyeiandika labda hatarudi kusoma jibu lake tena?
- Je, umewahi kufikiria kuacha kupost comment ambayo iko negative kwako na ukijua hamna mtu atakayejua?
- Je unazitreat tofauti au unafikiri watu wanaoacha comment kwenye blog yako na kuacha majina yao yaonekane wazi wanastaili comments zao kujibiwa au hata kuacknowledge kuwa umeona maoni yao?
- Je, unafikiria ni makosa kucomment kwenye blog yako kwa kutumia jina lingine?
- Je unazichukulia comments zote sawa unazotumiwa kwenye blog yako bila kujali maoni uliachwa?
- Je, unaamini comments kwenye blog yako zilizoandikwa kwa urefu sana zinahitaji kuzawadiwa zaidi kuliko zile zilizoandikwa kwa ufupi tu?
- Je wewe ni mtu ambaye uko rahisi kukata tamaa?
- Je unaedit picha zako ili ziwavutie sana wasomaji?
- Je unaepuka kuweka post ambazo ziko very controversy kwasababu ya kuogopa watu hawatakubaliana na wewe au huna hizo post?
- Je unajisikia vizuri zaidi ukiweka post kwenye blog yako na ukapata maoni ya watu zaidi ya 20 au ukipata maoni ya mtu mmoja mashuhuri tu.
- Je unasema blog yako kuwa inamafanikio iwapo unapata watu wengi wa kusoma au unapata watu wengi wakuacha comment kwenye blog yako?
- Je blog yako unatumia jina lako kamili au unablog kwa kutumia kivuli kingine na watu wanasoma na kuenjoy blog yako lakini hawajui wewe ni nani?
- Ni nini baadhi ya malengo yako ya mwaka huu kwa ajili ya blogu yako au unaonaje mwenyeew kwa kipindi cha mwaka mmoja ua mitano toka sasa hivi blog ya itakuaje?
- Je upi ujumbe wako kwa wale watu wanaotaka kuanza kublog?
- Je kwa maoni yako ni lengo gani kubwa kwa mwanablogger?
- Watu wengi wanafikiria kublog kwa ajili ya kupata hela. Je ni nini baadhi ya vidokezo kwa watu wanaofikiria kufanya hivyo? Je, ni ukweli upi wa baadhi ya matarajio yanayohusina na nini kinaweza kufanywa na nini hakiwezi kufanywa wakati wa kublog?
English
- Can you tell us a little about you and your blog?
- Are you a full time blogger? How did you get into blogging and why?
- What do you find most challenging about blogging about your topic?
- How many years have you been blogging?
- What do you do when you aren’t working on your blog?
- How many times do you think about your blog when you’re away from the computer?
- Who are your readers?
- Is there any other networking that you do to help your blog reach you targeted readers?
- What was the most challenging moment in your blog content development process and why?
- How do you handle it when you just can’t think of an idea to write about?
- What is your strategy with your blog in general?
- Is it better to get facts from someone else, or conduct your own experiments for results?
- What’s the best thing a blogger can give to his readers?
- How would (someone) describe your blogging style?
- What has been your strategy for creating visibility to yourself and your blog?
- Everyone has a favorite/least favorite post. Name yours and why?
- Name some of the bloggers whom you look up to and why?
- Tell me about some of the people you’ve met while working on your blog?
- Do you think you owe someone for commenting on your blog?
- Is it worth replying to comments on your blog knowing that most of your replies will never be responded to or even read again?
- Have you ever thought of not approving a comment because it is negative knowing nobody will find out?
- Do you think people who comment on your blog with keywords in their name are worth being replied to, or even acknowledged in your blog?
- Is it wrong to comment on your blog under a different name?
- Do you value every comment you get on your blog the same, regardless of the content of the comment?
- Do you believe comments on your blog with more writing should be valued and rewarded higher than comments with less writing? Are you easily discouraged?
- Are you ever willing to edit an image you use in your blog post to make it look more appealing and eye catching?
- Do you avoid posting controversy on your blog because you have none to post, or you’re afraid someone might disagree with you?
- Would you feel more accomplished if you got 20 comments from “regular” bloggers, or just 1 comment from a highly respected “famous” blogger?
- Do you define your blog as a success if you make a lot of money from it and get a lot of comments per post?
- Are you a “thinker” and “planner” instead of a “doer”?
- Are you being as personal as you can with your readers (picture of yourself, small bio, etc.)?
- What are some of your goals this year for your blogs or where do you see yourself blogging wise in the next 12 months, and 5 years down the road?
- Any specific tips you have for newb bloggers who want to make it in the blogosphere?
- What is the ultimate Goal for a blogger in your opinion?
- A lot of people are interested in blogging for the money earning potential. What are some tips for people interesting in making money from blogging? What are some realistic expectations in regards to what can be made?
No comments:
Post a Comment