- Unaweza kutuambia kidogo kuhusu wewe na blog yako? Mimi naitwa Omari Abdallah Makoo na blog yangu inaitwa BUSTANI YA HABARI
- Je, wewe kazi yako ni kublog tu au hii ni kama kazi ya muda tu au hobby? Hapana mimi kazi yangu sio kublog tu bali ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika mwaka wa masomo utakao anza hivi karibuni pale MUSLIMUNIVERSITY OF MOROGORO
- Jinsi gani unaanza kublog na kwa nini? Mara ya kwanza nilipata hamasa ya kublog baada ya mhadhiri wa chuo kugusia swala la utengenezaji wa blog,faida na namna ya kutengeneza blog.Sababu iliyonisukuma kublog ni shauku ya kuhitaji kufukisha habari katika jamii mbali mbali nikiwa na chombo cha kujitemea mwenye kikiwa kama hazina ya habari.
- Nini changamoto unazozipata kwa kuwa na blog? Mwanzo nilikumbana na tatizo la uchache wa visitors ingawaje swala hilo halipo kwa sasa,Pia uchache wa vifaa vya kukusanyia habari pamoja na kukosa watumishi.
Showing posts with label Get To Know Me. Show all posts
Showing posts with label Get To Know Me. Show all posts
Kutana na Mwanablogger Umar Makoo
Dvj Sweet P: Rebrand and New Layout of My Blog
Tags:
Get To Know Me
Deco Place - All Event Decorators
We create your decorative dreams and bring your event to life...Whether you want a princess wedding or a royal wedding, you want a beach wedding or a backyard wedding. It's your call. We are now on Facebook. Stop by and say hello. While you are there like us, look around and see what we can do for you.
Please contact us for orders and requests at +255 784 273 174.
Location: United nations Road, 7610 Dar es Salaam, Tanzania
We turn your fantasy into reality!!!!!
No event is too large or too small for us.
All Events!!!!
We work within your budget
Love is in the details!!!!!
Tags:
Get To Know Me
Subscribe to:
Posts (Atom)


