Blog zilizochaguliwa katika shindano la mwaka huu 2012

Okay mwaka huu tumejitahidi sana kuangalia mambo mengi tu kuchagua hizi blogs. Tunafahamu kila mtu anajitahidi kushughulikia blog yake lakini tumejitahidi sana kuangalia mambo muhimu yatakayoweza kutusaidia kuberosha blogs zetu za Kitanzania.

Tumeona kuwa ni bora tuengeze kuangalia kwenye mambo muhimu yatakayosaidia kuboresha blogs zetu na kuachilia mbali jinsi blog ilivyo. 
.
Hivyo kwa mwaka huu tumeangalia zaidi kuhusu blog originality, contents quality na blog ilivyorahisi kwa msomaji kuona contents zote na za zamani katika blog yako. 

Tuliamua kuondoa kipengele cha best design/graphic design kwasababu tumeona tukisema tumpe mtu yeyote itakuwa ni kujidanganya tu. Tumejaribu kutambua kuwa watu wengi Tanzania hutumia simu kumaintain blogs zao kwa hiyo bado tuna safari ndefu kwa blog zetu kwenye kipengele hicho. Hivyo hatukuangalia sana jinsi mtu alivyopanga theme yake bali ni jinsi gani hiyo blog ilivyo bali. kama tulivyosema tumeangalia creativity, uniqueness, contents quality na jinsi post zinavyorelate kwenye hicho kipengele blog iliyopendekezwa.


Na pia mshingae blog nyingi zimependekezwa kwenye vipengele fulani lakini hazikuchaguliwa ni kuwa kuna blog nyingi sana nzuri tu laini ni mpya. Kama tulivyosema blogs zote ambazo zimefunguliwa baada ya tarehe 30 Sept 2011 zitaruhusiwa kushiriki kipengele cha newcomer blogs tu..

1 comment:

Unknown said...

nyi jamaa hamkua na malengo watu tumepoteza mda na hela zetu kupost na kudesign blog zetu mnatuletea mambo kama haya, mwaka ujao muache ujinga wa namna hiyo, then naona kama blog mnazipitisha kwa kujuanajuana tu. ni hivi blog yangu ilikua na vigezo vyote vya kua best blog designed blog na best entertainment. kwani mngetangaza washindi wa hayo makundi mlioyatoa mngepungukiwa nini? si ni kura ndo zinaamua? blog ya ni bongoclan.blogspot sitaingia tena katika mashindano ya kisenge hivi tena. na kama kuna watu watanipendekeza msinipe ushindi. bad 9t to all of you