2013 Tanzanian Blog Awards

Mwezi wa nane ndio huu umefika...hivyo shindano letu litaanza kama ilivyopangwa na itakuwa kwa week mbili tu.... Hivyo waeleze wasomaji wako ili wawaeleze na wenzao pia...Mambo ya kulalamika kuwa sikuwa na habari au muda wa kupendekeza majina haukuwa wa kutosha haitakua excuse tena...
Shukrani 

2 comments:

emu-three said...

Tupo pamoja, na linaanza lini vile?

Godlisten Silvan said...

Tar 14