Cheka Vichekesho na FunnySMS LoveSMS

Cheka Vichekesho na Funny SMS Love SMS zinatambulishwa katika jamii...

hizi blog mwenye kuzimiliki hajaleta jina lake...

Cheka vichekesho link yake ni hii  http://chekavichekesho.wordpress.com/

Funny SMS Love SMS ni hii http://funnysmslovesms.blogspot.com/


2 comments:

emu-three said...

Karibu sana mpiganaji tupo pamoja

Salehe said...

Habari,
Hizo blog ni nzuri sana kwa vichekesho kwa upande wa hiyo ya cheka vichekesho, ni namba moja tanzania jaribu kusachi google neno vichekesho. pia hiyo ya funny sms love sms nayo ni kali na inakuja juu ile mbaya. tembeleeni muione