New Blogs

Sorry guys , nimepokea hizi blogs muda mrefu lakini nilikua sijapata muda wa kuziweka huku. Na kwa wale ambao walinitumia blogs zao kuwekwa kwenye directory list tutaziweka mwishoni mwa mwezi huu hata kama sijakujibu email yako binafsi tafadhali tambua kuwa tumeipokea na tutaziweka zote.

1. Kishymba  - Entertainments

2. Acess To Scholarships - Education 

3. Computer Experts - Information & technology

4. Bongo Entertainment - Entertainments 

Okay guys natumaini mtaweza kuingia kwenye hizi site kuwasupport wanablogger hawa wapya wa kitanzania

4 comments:

emu-three said...

Twawakaribisha sana, na tupo pamoja kwa saaana

kishymba said...

HABARI UMEKOSEA KIDOGO JINA LA BLOG YANG NI KISHYMBA

Dar Slam said...

Mkuu usizisahau hizi mbili pia
http://darslamproductions.blogspot.com
na
http://bongoblogs.blogspot.com

Access To Scholarships said...

Nashukuru kuwa kwenye orodha sasa!