Matokeo Ya 2012

Haya ni matokeo ya mwaka 2012..Hongera kwa wale wote walioshiriki, walioshinda na wale waliotumia muda wao kufanikisha shindano hili kwa njia moja au nyingine. Tunawashukuru sana

Kama tulivyosema mwaka huu hatutawasialiana na mshindi yeyote kama ilivyokua mwaka jana..Hivyo kwa wale wote walioshiriki (majina yao yalipendekezwa), wale wote walioshinda na kuingia kwenye shindano na walioshinda kama unahitaji certificate ya kushiriki au badge ya kuonyesha kwenye blog yako tafadhali tuandilkie na tutakutengenezea. Ukituandikia tafadhali andika jina la blog yako, kipengele ulicho shiriki na nafasi uliyoshinda au kama blog yako ilipendekezwa lakini haikuingia kwenye finale basi utwambie hivyo.
  

Matokeo ni kama ifuatavyo:-


 
 
Best Beauty/Fashion or Style Blogs
1. http://8020fashions.blogspot.com/
2. http://bumimmusese.blogspot.com/
3. http://www.u-turn.co.tz
4. http://sherianamavazi.blogspot.com/
5. http://fashionjunkii.com/

 Best Collaborative or Group Blogs 
1. http://issamichuzi.blogspot.com
2. http://sherianamavazi.blogspot.com
3. http://bongoflavortz.blogspot.com/
4. http://chingaone.blogspot.com
5. http://dewjiblog.com

Best Educational Blogs
1. http://mitiki.blogspot.com
2. http://tanzmed.com
3. http://johnbadi.blogspot.com
Tied for 4th place
4. http://bongofilmdatabase.blogspot.com/
4. http://osimaed.com/

Best Entertainments/Music or Humor Blogs
Tied for 1st place
1. http://djchoka.blogspot.com/
1. http://www.u-turn.co.tz/
2. http://jestina-george.com
3. http://laprincessaworld.blogspot.com
4. http://dartalk.com

Best Entrepreneurial Blogs
1. http://sokonibongo.blogspot.com
2. http://gshayo.blogspot.com
Tied for 3rd place
3. http://intellectual-business.blogspot.com
3. http://pedama.blogspot.com
4. http://businesslinktz.blogspot.com

Best Family or Personal Blogs
1. http://nyanja.blogspot.com
2. http://rosemarymizizi.blogspot.com/
3. http://kilinyepesi.blogspot.in
4. http://candy1world.blogspot.com
5. http://isaackin.blogspot.com/

Best Inspiration Blogs
1. http://Issamichuzi blog
2. http://gospelkitaa.blogspot.com
Tied for 3rd place
3. http://freebongo.blogspot.com/
3. http://tanzaniaachievers.blogspot.com
3. http://thechoicetz.blogspot.com

Best Newcomer Blogs
1. http://Nolniz.blogspot.com
2. http://anithascloset.blogspot.com
3. http://Leotainment.blogspot.com
4. http://hrtza.wordpress.com/
5. http://momntoto.blogspot.com

Best News
http://Issamichuziblogspot.com
Tied For 2nd place
http://dewjiblog.com
http://mjengwablog.com
Tied For 3rd Place
http://lukemusicfactory.blogspot.com/
http://missiepopular.blogspot.com

Best Out Of Towner Blogs
1. http://jestina-george.com
2. http://bugangoborder.blogspot.com
3. http://fashionjunkii.com
4. http://dewjiblog.com
5. http://candy1world.blogspot.com

Best Poetry or Writing Blogs
1. http://miram3.blogspot.com/
2. http://vitukovyamtaa.blogspot.com
3. http://kisiwachamashairi.blogspot.com
4. http://nancylazaro.blogspot.com

Best Political Blogs
1. http://mwanaharakatiMzalendo.blogspot.com
2. http://www.jukwaahuru.com
3. http://siasazatz.blogspot.com
4. http://ccmchama.blogspot.com
5. http://ukadirifu.blogspot.com

Best Photography Blogs
Tied for 1st place
1. http://michuzi-matukio.blogspot.com
1. http://u-turn.co.tz
Tied for 2nd place
2. http://mjengwablog.com
2. http://sherianamavazi.blogspot.com
3. http://missiepopular.blogspot.com

Best Religion Blogs
1. http://strictlygospel.wordpress.com
Tied for 2nd place
2. http://hosannainc.blogspot.com
2. http://mungupamojanasi.blogspot.com
3. http://godfaithfull.blogspot.com
4. http://gospelcorner.wordpress.com

Best Sports Blogs
1. http://shaffihdauda.blogspot.com
2. http://michuzijr.blogspot.com/
3. http://mamapipiro.blogspot.com/
4. http://aboodmsuni.blogspot.com
4. http://bukobasports.blogspot.com

Best Science or Technology Blogs
1. http://knowcache.blogspot.com
2. http://maishanateknohama.blogspot.com
3. http://minshock.blogspot.com
4. http://itycoon4idevices.blogspot.com/
5. http://innowise-infor.blogspot.com

Best Travel Blogs
http://www.u-turn.co.tz/
http://bungangoborder.blogspot.com
http://othmanmichuzi.blogspot.com/
Tied for 4th place
http://amazingtanzaniatours.blogspot.com
http://barakachibiriti.blogspot.com
9 comments:

SALUM CHUMA said...

kazi nzuri,,hii inaleta changa moto sana,,naitafanya Nyanja ya Habari na mawasiliano kupanuka na kutoa ajila kwa vijana wengi,,Good idea...msiishie hapa iwe na mwakani ipate muda wa kutangazwa zaidi!

Anitha said...

Thank you thank yoy! sasa sijaelewa hizo blogs zilizokuwa highlighted red zinamaanisha nini!

Anonymous said...

Hao washindi wanapata nini wakishinda??

Bennet said...

Blog yoyote ambayo umeifungua na kuitembelea ndio inakuwa na rangi nyekundu, chunguza hilo

BUGANGO BORDER BLOGGER said...

tunashukuru kwa shindano ambalo tunaamini bloggers tumetendewa haki. tumeridhika na matokeo. asante

Damian Ndassa said...

Good work its a challenge kwetu bloggers to keep working hard but also it pushes us to be more creativity to win the challenge!

Anonymous said...

niliwahi kuwauliza mbona hamjibu? hizo tuzo zinatolewa wapi? na walioshinda wanapata nini? ahsanteni

Tanzania Real Estate said...

Naomba information as to how I can include my website to compete for one of the awards. Please send to:
info@propertyfinder.co.tz

Admin said...

Information zote zipo kwenye blog hapa..Ukiingia kwenye FAQs hapo juu utapata majibu yote kuhushu shindano letu..