Vipengele vilivyoondolewa.

Okay sio kuwa tulikua kimya bali kazi ilikuwa kubwa sana. Blogs zilizoshiriki mwaka huu ni nyingi sana na man power tuliyonayo siyo kubwa hivyo tunahitaji muda mwingi wa kuhakikisha kwa umakini na blogs hizo zinastahili kuwekwa katika vipengele hivyo kweli..

Email zenu tunazipokea tunazoweza kuzijibu right away tunafnay hivyo na ambazo zinahitaji mawlwzo kwa urefu zitajibiwa tutakapopata nafasi..

Okay baada ya kuangalia blogs zilzopendekezwa katika vipengele hivi tumeona kuwa mwaka huu tutaviondoa. Ni bora kutoshindanisha hivi vipengele kuliko kuwa na blog mbili zilizokidhi na kustahili kuwa katika hivi vipengele na zingine hazijakidhi..

Kwa hiyo vipengele vilivyoondolewa mwaka huu ni 

Best Audio/Video
Best Advertising/Marketing blog
Best Designed/Graphic Designed Blog 
Best Fitness, Health or Food Blog 
Best Tots Blog          
Best Wedding Blog

Tutaweka blog zilizopita kesho3 comments:

Anonymous said...

hiv coment yangu hamjaiona au?

Admin said...
This comment has been removed by a blog administrator.
Admin said...

Comment ipi hiyo? Hatuna comment yeyote ambayo tumezuia kama haina matusi. Na kwa mwaka huu tunashukuru kuwa hatuna comments zenye mambo ya kijinga sasa hiyo comment yako sijui uliisend kwa huku au kwa kutumia email...