Kura Zimeanza Kupokelewa

Kura zimeanza kupokelewa kwa shindano la mwaka huu 2012. Zitapokelewa kwa kwa muda wa week mbili tu.
Tunawatakia kila la heri wote na pia waambie wasomaji wa blog yako. Matokeo yatatangazwa right away kwa Twitter, Facebook na hapa kwenye blog..

Ballots za kura zipo hapa pembeni...

1 comment:

Anonymous said...

Pemce gani? Mbona mi sioni hiyo sehemu?