Blog members only/invited readers only

Tumegundua kuwa kuna blogs zimependekezwa lakini blogs hizo ni members only. Tafadhali pitia sheria zetu za kushiriki shindano letu au kwa blog kuwekwa kwenye directory list yetu. 

Blogs zitakazoshirikishwa ni zile tu ambazo ni accessible  kwa kila mtu, bila masharti yeyote. Na kama unavyojua kuwa kila miezi sita tuna clean directory list yetu na huwa tunapitia kila blog sasa blogs ambazo owner wameamua blogs zao zitakua kwa members only, blogs ambazo ni broken link na blog ambazo hazijawa update kwa miezi sita tutaziondoa. Tunajitahidi directory list yetu iwe update na kila blog iwe active. Hivyo tafadhali kama blog uliyoipendekeza unataka ishiriki basi mwambie owner wa blog hiyo abadilishe settings zake. Tutapitia round ya kwanza ijumaa hii blogs ambazo ni for members only tutaziweka katika star hivyo week ijayo tukiangalia tena hazitaingia kwenye shindano letu.


No comments: