Badges

Kutokana na emails nyingi nilizopokea leo baada ya kuweka hizo badges nimeamua kuweka codes kwa kila mtu. Hivyo sasa hivi copy and paste code mahali unapotaka kuweka hii/hizi badges. bado naendelea kuzitengeneza hivyo kwa categories ambazo bado sijamaliza tafadhali nipe muda nitamaliza.

Jinsi ya kuweka
1. Dashboard

2.  Design

3. Add gadget

4. Copy codes ziliko chini ya  badge unayoitaka

Mfano 
<a href="http://www.tanzanianblogawards.com" target="_blank"><img alt="Tanzanianblogawards" src="http://i116.photobucket.com/albums/o14/idafa/Tanzanian%20Blog%20Awards/nominateme22.jpg"/></a> 

TanzanianBlogAwards

5. Chagua kipengele kinachosema HTML/Java Script 

6. Paste hizo codes

6. Save

No comments: