Muda wa Kupendekeza Blog kwa Mashindano ni April 1st to May 31st

Asante sana kwa wale wote wanaopendekeza blog za watu ili zishirikishwe kwatika mashindano haya. Tunapenda kuwaambia watu wote kuwa tafadhali tambua kuwa muda wa kupendekeza blog bado haujaanza. Tunaona watu wanatumia ile form ya mwaka jana kupendekeza blogs mbalimbali tayari. Tutaanza kupokea mapendekezo hayo Tarehe 1, April 2012 na mwisho ni tarehe 31, May 2012. Tafadhli zingatia muda huo kwa sababau mwaka huu hatutaengeza muda labda kama tulivyofanya mwaka jana labda limetokea jambo la dharura. 

Kama unataka blog yako iweke kwa directory list yetu tafadhali tutumie kwenye email yetu ambayo ni tanzanianblogawards@gmail.com na usiache blog yako kwenye comments inakua vigumu kuiona...

Asanteni sana

NB: Thanks...Asante kwa hilo..Nilikosea...ni tarehe 31/5/2012

3 comments:

Anonymous said...

muda wa kupendekeza ni kuanzia april 1 2012 hadi 31 may 2013 au mwisho ni may 2012?

Anonymous said...

hi!!!

emu-three said...

Tupo pamoja ndugu yangu weee