A college life blog

Blog mpya kabisa inayojihusiha na utafutaji na ukusanyaji wa habari zinazouhusu wanafunzi waliopo katika
elimu ya juu Tanzania

Blog hiyo inajulikana kama TZ Campus Vibe  www.tzcampusvibe.wordpress.com Ipo kwenye Face book pia kwa jina hilo hilo


Blog hii ni maalum kwa wanafunzi wa elimu ya juu kuweza kuhabarisha jamii kupitia shughuli mbalimbali zinazoendelea vyuoni ili jamii iweze kuelemika, kuburudika na kuhabarika kuuhusu matukio hayo.


MADHUMUNI YA BLOG.
Kuhabarisha, kuelimisha na kuburudisha wanafuniz pamoja na jamii kiujumla juu ya maswala mbalimbali
yanayohusu wanafunzi wa elimu ya juu Tanzania ambapo watapata fursa yakuelezea mambo yatakayosaidia
kuendeleza jamii. Wanafunzi na jamii kiujumla inakaribishwa katika kutoa habari, maoni ushauri pamoja na kutangaza sherehe na matukio yanayotokea au yanayotarajia kutokea vyuoni au hata nje ya vyuo lakini yakiwahusu wanafunzi.

2 comments:

Anonymous said...

Beautifully written blog post. Delighted Im able to discover a webpage with some insight plus a very good way of writing. You keep publishing and im going to continue to keep reading.

Lambert said...

Good idea! Its me, student at UDOM.