Good News Dar Es Salaam Bloggers Circle

Pamoja  na kuwa tunasubiri umoja wa watanzania wote ufunguliwe tena lakini nimefurahi kupokea email kutoka kwa blogger ambaye yupo Da Es Salaam. Wao wamejitahidi na kuanzisha community yao inaitwa Dar Es Salaam Bloggers CircleKwa wale bloggers mliopo Dar Es Salaam mnaweza kupitia hiyo Facebook page yao na kuangalia ni jinsi gani unaweza kujiunga kwenye circle yao. Kama kuna fee na kama umekidhi masharti ya community yao basi waandikie watakueleza zaidi.

Shukrani

Kama kuna bloggers wengine wa kitanzania popote pale mlipo na mna community yenu basi msisite kuileta hapa ili tuwatangazie watanzania wengine wafahamu. Kuna bloggers wengi wanatafuta mahali pa kucall home lakini hawapaoni.Hivyo kama zipo communities zingine za watanzania please do so

3 comments:

emu-three said...

Twashukuru kwa taarifa hiiTwashukuru kwa taarifa hii

Biche said...

Just to let you know: there's no fee to join the Dar es Salaam Bloggers' Circle. Simply attend one of the meetings (which take place on the 3rd Wednesday of every month at Cine Club in Mikocheni at 6:30pm) and that's it, you're part of the circle! :-)

Biche said...

Oh...and the DBC Facebook page can be found at <a href="http://www.facebook.com/DarBlogCircle>Facebook.com/DarBlogCircle</a>. I look forward to seeing you all at one of our 2012 meetings! :-)