Broken Links On Badges

Naomba mnipe week moja niweze kumaliza kuweka badges zote. Naelewa kuna badge zitakazikuwa zime disappear kwenye blog zenu. Nilikua nazihamishia kwenye folders na kuondoa zile zilizojirudia. Kama badge yako imeondoka usijali week ijayo nitaweka maelekezo ya kila mtu kuchukua badge yake hapa.


Sasa hivi ukiingia kwenye hiyo link na kuchukua hizo zilizopo hapo zitakua ni wrong hivyo Jumatatu zitakua zimerekebishwa tayari. Hivyo usiniandikie email kueleza kuwa badge yako imepotea na usichukue hizo unazoziona kwenye directory list yetu kwani si sahihi

Samahani kwa usumbufu wowote utakao jitokeza.....

No comments: