Tufuate Kwenye Twitter

Je una twitter account? Kesho ndio mwisho wa kupiga kura kwa kuchagua washindi wa kila kipengele...Majina ya washindi yatatanganzwa mara tu baada ya mwisho wa kupiga kura kwenye twitter. Tutaposti matokeo haya kwenye blog yetu Jumatatu hivyo kama unataka kujua nani kashinda bila kusubiri mpaka hiyo jumatatu basi tufuate kwenye twitter.. hapa au tafuta jina la bongoblogawards


Okay then good luck to all and hope to see you all there tomorrow night

No comments: