
Our first aim is to recognize the achievements of hard working Tanzanian bloggers in and out of the country. The top 5 nominees from each category will receive recognition online award badges to shell case on their blogs.
Any questions not covered here? Send an e-mail to tanzanianblogawards@gmail.com and we’ll get them answered.
2 comments:
I THINK KUWAPA BUDGE TO SIO SAHIHI , KWA USHAURI KAMA MTAWEZA MNAWEZA OMBA UFADHILI KWA MAKAMPUNI MBALI MBALI KWA AJILI YA ZAWADI KWA WASHINDI , PIA MNAWEZA KWA MFANO BEST MUSIC BLOG MNAWEZA KUTANGAZA KUWA ANY STUDIO AMA REDIO WAWEZE KUTOA ZAWADI YA KATEGORI HIYO ....MI NADHANI NI KITU KIZURI SO MNAWEZA PATA WAFADHILI NA KUANDAA TAMASHA KUBWA TU -WATU WENGI SANA WANAANGALIA BLOGS SIKU HIZI .....
Tunashukuru kwa ushauri wako ni kweli material prizes zingeongeza excitements sana lakini kumbuka any recognition worth more than material goodies. Unaweza kukumbuka kila muafrica aliyewahi kushinda noble prize lakini si rahisi kumbuka walipata shilling ngapi? Anyway mwanzoni tulipata watu wachache waliotaka kusponsor category moja moja. Kwa vile huu ni mwaka wa kwanza tulijua hatuwezi kupata sponsors 26 kuweza kusponsor categories zote achilia mbali the overall winners. Na pia kwa mwaka wa kwanza unajua wengi walikua hawajasikia hili shindano sasa tufikiria tukiongeza monetary gifts na vitu vingine kama unavyojua tena money is the root of all evil tulipendelea tukae mbali na vitu kama hivyo kwa sasa. Kwa mwaka kesho tunatumaini tutaanza mapema kutafuta sponsors na itakua big and better.
Post a Comment