About Us

Welcome to the Tanzanian Blog Awards!  The blogs you see here are all created and owned by Tanzanians and currently making an impact in the blogosphere. 

During the contest period all blogs are nominated and voted on by users like yourself! Winners in each respective category will be awarded a recognition badge, certificate and  will be recognized at a one-of-a-kind awards ceremony (date and location to be determined at a later time). The results will be announce  live through twitter.

You may nominate and vote for as many blogs as you want, as long as you adhere to our Rules and Regulations. We reserve the right to remove or edit nominations, comments, user information, categories, and other content that appears on the site at our discretion.

The Tanzanian Blog Awards are sponsored by Kinamwaka Inc. and its properties, as well as any sponsors.

You can reach us at tanzanianblogawards@gmail.com
Skype: bongobloggers
Twitter ID: bongoblogawards.
Facebook: Tanzanian blog awards

27 comments:

Evarist Chahali said...

I think your idea is commendable.However,looking at your "Blog Directory List" it might give an wrong impression that you did not endeavour to recognise as many Tanzanian blogs as possible.I am in no way whatsoever saying so because my blog is not included in the list but I just think you could do better by compiling a comprehensive list,lest the whole idea of Tanzanian blogs Award turn into another farce we witness year in year out with the likes of Kili Awards,Miss Tanzania,etc.

Good work,though

Regards,

Evarist,Scotland

Pauline said...

Hi Evarist, thank you for taking the time to write us. We really appreciate that you have taken the time to let us know what you think about the Tanzanian Blog Awards. We have less than a week since this site published and if you read our mission you will understand. We are here to recognize and support Tanzanian bloggers all over the world. There are so many Tanzanian blogs that are not known to the world but they have so much to offer to our communities and the whole world in general that is to say our directory list is not particular for just few bloggers. You send us your blog link we will include in our list and remember any awards if used without prejudice promote and motivate it cause by making people to more challenge themselves to best of their capacities. Awards create enthusiasm, recognition, awareness and at the end more quality outputs are produced.

We hope you will take time to nominate your blog too because at the end of the day we don’t want to hear people complaining about the nominees. The nomination form is available for anyone to fill and we are trying to promote this blog as much as we could so many people can see and take time to nominate their favorite blogs.

Mzee wa Changamoto said...

Hili si wazo baya. Lakini ninalowaza ama kuwa na wasiwasi nalo ni namna ambavyo watu wanatambua mchango wa blogu hizi. Namna ambavyo uteuzi unafanyika na hata namna ambavyo BLOGU ZINAJUA UMUHIMU WAO KWENYE JAMII.
Katika majibu yako kwa Kaka Evarist, umemuomba ajiteue na hilo tayari linanipa wasiwasi kuhsu nia ya tuzo.
NINAOMBA KULETA OMBI.
Naomba hata nikiteuliwa (najua sitajiteua) msishirikishe blogu yangu kwenye tuzo hizi. Naheshimu kazi zenu, lakini naomba muelewe kuwa ninahitaji kuwa pembeni ya tuzo hizi.
Kabla ya kutoa tuzo hizi, naomba tuwekeze katika kuleta umoja wa bloggers na kutimiza nia halisi ya KUELIMISHA, KUBURUDISHA NA KUKOMBOA JAMII YETU.

Na kuhusu list ya blogs kwenye directory yenu, mnaweza kupata msaada kwa kutembelea ukurasa huu http://www.wavuti.com/linki.html#axzz1LtquSjYl

BARAKA KWENU

Pauline said...

Mzee wa Changamoto asante sana kwa maoni yako. Umuhimu wa shindano letu hapa ni kutangaza blogs za watanzania popote pale walipo. Hapa ni moja ya platform ya kupata free traffic kwa wanablog. Na katika kila shindano lolote watu wengine wanaruhusu shindano lao kupatikana kwa washindani either kwa kuteuliwa na panel ya watu fulani, kuruhusiwa kupendekeza majina yao yenyewe au rafiki zao kupendekeza majina yao. Sasa hapa kwetu kwa vile sasa hivi hatutumii software yeyote itakayo verify ni nani amependekeza jina la blog fulani ndio maana tumeachia huru kila mtu anaruhusiwa kupendekeza jila la blog yeyoye hata kama yeye ni mwandishi wa blog hiyo. Lakini wakati wa kupiga kura basi ndio tutatumia application inayo track IP address. Hivyo itaondoa tatizo la mtu mmoja kupigia blog fulani kura nyingi. Pia sio lazima kushiriki na kama umepata muda wa kusoma katika post moja hapo juu kila ijumaa tutakua tunapost majina tunayotumiwa na watu ambayo yamependekezwa lakini hao watu sio kuwa ndio wameshaingia direct kwenye shindano hili. Ili kushiriki ni lazima tutawasiliana nao kabla ya kuanza kupiga kura ili watuambie kuwa wanapendelea kuingia kwenye shindano hili. Sasa unavyosema hutaki kushiriki hiyo sio tatizo kwetu kama blog yako ikipendekezwa au itapendekezwa lazima tungewasiliana na wewe kabla ya shindano kuanza ili wewe mwenyewe uamue either kushiriki au la.

Na unavyosema kuhusu directory list kama ni kuipata tutapata kwenye tovuti fulani. Kuna ubaya gani wa kuwa na directory lists za blog za watanzania katika sehemu mbalimbali kwenye mitandao? Unajua ni blog ngapi mimi binafsi ambaye ni mwandishi hapa pamoja na kuwa huwa nasoma sana blog za watanzania kila siku lakini kuna blog zingine nilikua sijawahi kuziona wala kuzisikia? Ni baada ya kuletewa hizi link hapa na ninavyokua nahahikisha kuwa ni active link ndio nimeziona na kuzisoma kwa mara ya kwanza. Na hii inatokana either zina habari nzuri lakini hazina traffic nyingi hivyo ukigoogle hazionekani kirahisi, habari wanazoweka huko sizifuatilii, topic za huko hazinihusu, blog inahusu watu vijana sana au wazee sana. Sasa ukilazimisha watu wakapate directory list mahali fulani tu ni kuwa unawanyima watu uhuru wa kuchagua. Sasa hapa kwetu hatuna agenda yeyote na wala hatukoaffiliate na mtu yeyote. Sisi hapa lengo letu nikutangaza wanablogger sana sana waliko Tanzania ambao watapenda kushiriki na kuweka link zao ili wapate more traffic. 99% ya blog nilizoweka humu nimetumiwa hizo link na watu kutoka sehemu mbalimbali. Na pia tutaweka mahojiano ya watu wanaopenda au kukubali kuhojiwa na sisi tutapost mahojiano yao hapa ili wapate kutambulika zaidi.

Tunaelewa wazi na hata tulivyokua tunaandika sheria za shindano letu tulijua wazi katika kila jambo huwa kuna watu wanapenda kukaa kwenye side lane na kupoint out fingers na kuanza kuuliza why this why that lakini mambo yote hayo yanafunikwa na jinsi tunavyopokea emails za watu ambao walikua wanablog na baada ya kuona hawapati traffic za kutosha au wengine walikua wanapata traffic lakini hawaoni appreciation yeyote hivyo wakagive up. Lakini baada ya kuona hili shindano imekua kama motisha yao na wameamua kuanza tena kuzijali blog zao na wengine wametuandikia wanaomba tuweke post inayoelezea jinsi ya kufungua blog. Sasa hicho ndio kinachotufurahisha na ujue kuwa nchi ikiwa na wanablogger wengi ni kuwa inaendelea kwenye kuelimika. Blogs zinasaidia kuondoa ujinga ndio maana tunajitahidi tuhamasishe watu wengi kublog.

Mzee wa Changamoto said...

Ndugu yangu.
Kwanza nilete shukrani kwa kujibu comment yangu. SHUKRANI.
Kuna ambalo umenielewa visivyo. Sikumaanisha kuwa msiwe na anwani ya blog hapa. Na si maana yangu kuwa watu wasiweke bloglist kwenye blog zao. Nilichokuwa nikimaanisha ni kuwa kwa kupitia pale (wavuti.com) ambako watu wanaoanzisha blogu huweka ombi la blog za kuhusishwa ama kuorodheshwa, kuna uwezekano wa kupata updates ya blogu nyingi sana. Lakini unaweza kuona kuwa mimi nina list ndefu sana na hata hii imeingia punde nilipoona. Ni kwa kuwa ninaamini katika UMOJA MTAWANYIKO. Yaani watu wenye ladha na mawazo yenye muelekeo mmoja lakini kwa mbinu tofauti. Kwa hiyo anayepita kwangu akaja hapa, ama anayepita hapa akaenda kwa mwingine anakuwa ameendeleza ufahamu.
Kwa hilo nawaelewa.
Kuhusu mtazamo wangu juu ya TUZO naamini nitamalizia post ambayo nilishaianza kuhusu TUZO HIZI na humo nimeeleza ambayo naamini yatafaa kwetu sote.
Na kwa mawasiliano zaidi naweza patikana kwenye email ya changamoto@gmail.com.
PamoJAH

Mzee wa Changamoto said...

Nilisahau ndugu yangu.,
Kwenye maoni yako umesema "Sasa hicho ndio kinachotufurahisha na ujue kuwa nchi ikiwa na wanablogger wengi ni kuwa inaendelea kwenye kuelimika. Blogs zinasaidia kuondoa ujinga ndio maana tunajitahidi tuhamasishe watu wengi kublog."
Hili NAKUBALIANA NALO na nimekuwa wakili wa hili. Na haya ni baadhi ya maandiko niliyoandika juu ya hili.
Kwanza kuhusu kuhamisha maandiko yetu kutoka kwenye blogu kuelekea kwenye MAGAZETI yanayosomeka na wengi niliandika hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/11/kutoka-bloguni-twende-majaridani-na.html
Kisha kuhusu UMUHIMU WA MAONI hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2009/12/blogu-ni-shule-wajifunzao-ndio-wafunzao.html
UMUHIMU WA KUTEMBELEANA NA KUTOLEANA MAONI hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/02/blogu-kama-shule-msumeno.html
Kisha NIKAANDIKA NIONAVYO KUHUSU BLOGS NA NIKAKOSOLEWA hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/04/blog-zetu-na-maradhi-ya-bongo-flava.html
Na kisha UMUHIMU WA BLOGGERS KUSHIKILIA MAUDHUI YAO hapa http://changamotoyetu.blogspot.com/2010/07/uhiari-wetu-wa-lazimatunautumiaje.html
Na sasa naandaa kuhusu Tuzo hizi kwani naamini ni jambo jema kulizungumzia

Nova Kambota said...

Well i would like to congratulate you for this but as what has been said by Evarist Chahali that is there are number of Tanzanian blogs which have not been included and they insipire the society indeed now consider I myself i have been blogging since 2008 and am also a distinguished article writers with Dira Media and book writter, i have also been a facilitator and currently a university student of Mzumbe University, my blog is one of the farmous known blogs among the university students all acrosss Tanzania and beyond, now what i believe my be you didn't know about it now i kindly ask you to include it in your list, the link is www.novatzdream.blogspot.com
By Nova Kambota

Mzee wa Changamoto said...

Naleta pongezi kwa NYONGEZA YA BLOGU kwenye directory yenu.
INAFURAHISHA NA KUTIA MOYO.
Baraka kwenu

Pauline said...

Asante Mzee wa Changamoto. Nia yetu ni njema na tunajitahidi kadri tuwezavyo kuweka blog zote tunazozipata na tukipata muda tunatafuta wenyewe kutoka katika blog mbalimbali. Kazi inakua pale tunapo lazimika kupitia kila blog ili kujua kama ni blog au forum na je ipo active au la? Lakini kama wanavyosema wenzetu "No child left behind"..basi na sisi ndio hivyo kila blog ya Mtanzania popote pale alipo tutaitafuta mpaka tuipate na kuiweka humu...

Pia blog yako imetusaida kupata baadi ya blog ambazo tulikua hatuna...Ila kuna ambazo link ziko broken kama ukipata muda ukipitia na kuziondoa itakua vizuri. Kwa vile na sisi lengo letu hapa ni kuweka link zilizo active na tutajitahidi kila miezi mitatu kuangalia kila blog iliyoorodheshwa hapa kama bado iko kwenye link hiyo hiyo au la.
Shurkrani

Mshauri wa biashara Charles said...

Asante kwa mahojiano yako mazuri nataka kuingiza blogu yangu kwenye mashindano jee inawezekana?.

Anonymous said...

vizuri kuanza

jfk said...

Asalam aleikum , katika orodha yako ya blogs nimekuta blog zangu , lakini kuna moja inayoitwa Wanamuziki wa Tanzania inaonekana imekosewa anwani hivyo haipatikani. Anwani yake sahihi ni www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com natanguliza shukrani. Na email yangu ni jkitime@gmail.com

Rama Msangi said...

Nawasalimu wote katika jina la anayetuweka hai hapa duniani. Napenda kuwapongeza kwa kazi nzuri sana mliyokwishaifanya hadi sasa. Ingawa nimekuwa mkimya katika kushiriki mijadala mingi humu, lakini nimekuwa miongoni mwa wasomaji wazuri wa kinachojiri humu.

Kile kimenivutia leo kusema ni kuhusu blogi yangu (http://uchambuzi.blogspot.com/) ambayo mmeiorodhesha kwenye list yenu. Napenda niwashukuru sana kwa kuitambua blogi hiyo. Hata hivyo, kama ambavyo mmeona pale au wale ambao wamekuwa wakiitembelea, blogi hiyo haijawa updated toka mwaka jana na hii inatokana na ukweli kuwa nilishahamisha maskani hiyo kutoka uchambuzi.blogspot.com, na sasa kazi zote ziko www.jukwaahuru.com.

Hivyo basi, napenda muibadili anwani ya blogi ile ama muweke anwani ya blogi hii ya sasa ya www.jukwaahuru.com.

Kazi njema na nawatakia kila lakheri

Kwetu Bongo said...

Habari za Jioni
Ningependa jua njinsi ya kujisajili na mimi na pia.
Mimi ni mmiliki wa blog hizi
www.mkinga.co.cc
www.maketeplatform.co.cc

Na Hii Ndo Web Yangu
www.kwetubongo.com
By E.A.Mwemutsi

ERNEST B. MAKULILO said...

Nimesoma kuwa blogs ambazo zimewekwa/chaguliwa kwenye kinyang'anyiro hiki watume e-mail IDs zao.

Blogs zangu ambazo zimekuwa listed kwenye shindano ni

www.scholarshipnetwork.ning.com (Best Collaboration or Group)


NA

www.makulilo.blogspot.com (Best Education)

E-Mail yangu ni

makulilo@makulilofoundation.org

MAKULILO

Mzee wa Changamoto said...

Juhudi ni kubwa sana. HONGERENI KWA HILO.
Ninawasifu kwa kutengeneza "badges" za categories mbalimbali na nadhani kwa kuzitenga kulingana na categories ni UBUNIFU WA HALI YA JUU.
Kwa hilo nawapongeza.
Baraka kwenu

WBUSA BLOG said...

Hi there i have my blog too i need to compete with these guys but my blog is based more on giving peoples news in and out side of Tanzania. Thanks
www.wabongousa.blogspot.com

Shaaban said...

Hi all,

Could you be so kind and list my bog as well in your blog list. My blog goes by www.kibogoji.com.

Keep up the good work,
cheers!
Kibogoji.

MY UMMAH "FOR THE BEST UMMAH" said...

Asalam Aleikum ,Ni matumaini yangu mzima wa faya.Na mambo yankwenda vyema kwa uwezo wake mola.
Kwanza kabisa nakupongezeni kwa kazi nzuri mnayoifanya ya kuunganisha bloggers wote wa kitanzania katika Mtandao mmoja.
Ombi langu kwenu naomba blog hii muiweke katika Orodha ya blog mbalimbali.
Naimani kwa uwezo wake MOLA kwa kile ambacho kinaandaliwa katika blog hii wanajamii watanufaika nacho kwa kiasi kikubwa.
"My Ummah" is created for the purpose of spreading the word of Allah, which was not only the main Sunnah of our beloved Prophet Muhammad (Pbuh) but of every Prophet sent by Allah (S.W) on the Earth to Mankind, which is now our responsibility to follow the same way Insha Allah. My Ummah "For The Best Ummah"
LINK YAKE HII HAPA CHINI:
http://myummah76.blogspot.com/
TITTLE YAKE HII:My Ummah
e-mail: myummah76@yahoo.in

Silvanus C. Mumba said...

Hello
Habari zenu maadmin
Mimi ni owner wa silverchriss.blogspot.com

Inajuhusisha na Matangazo mbalimbali lakini hasa ya Kisanaa hapa Nchini, Pamoja na hayo pia Matangazo ya Nafasi za Kazi, Tender na Habari mbalimbali.

Je unaweza kuilist na mimi yangu?

silverchriss.blogspot.com
Tittle Peruz na Mimi

Franco Mwamfilinge said...

Habari yako natumaini mzima wa afya na unaendelea vizuri na ujenzi wa Taifa.
Naomba uongeze hii link ya blog yangu katika list zako hapo juu.
Inajuhusisha na jamii kwa ujumla katika nyanja zote siasa,uchumi, utamaduni, burudani na michezo, pia Matangazo mbalimbali,Pamoja na Habari mbalimbali toka pande zote za dunia.
Natumaini ombi langu litakubaliwa na kupewa uzito unaostahili.
Link hii; http://tosamawe.blogspot.com
Jina: Tosa Mawe.
Ahsante.

GLOBAL FAITH VOLUNTEERING AND SAFARIS said...

av sent a request to participate in this awards but av not seen my blog appearing in the list of contesting blog or what it takes for a blog to appear in the list blog url is www.globalfaithvolunteeringandsafaris.blogspot.com

Unknown said...

TUPENI NAMBA ZENU ZA SIMU

chaby said...

Habari yako,
kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya. pili naomba kuwasilisha link ya blog yangu ili uiweke katika list ya directory. blog yangu inahusiana na matatizo ya kukosa uzazi (infertility) kwani suala hili ni kubwa na nikiwa kama muhanga nimeona kuwa linahitaji msaada ya kipekee kwa jamii ili kupata sehemu ya kutoa maoni, kusaidiana, kushauriana na kupeana faraja.
blog ni www.mwanamkenauzazi.blogspot.com
natanguliza shukrani

UjenziOnline said...

mm ni blogger na namliki blog mbili ikiwapo ujenzonline.blogspot.com na sifamiani na mdau umu swali je mnakuwa jna meeting lini

Frank Gerald said...

I WISH TO COMMEND YOUR IDEA

KEEP IT UP!

please list my blog in the directory as well
It is http://accesstoscholarships.blogspot.com/

makungujr said...

hey,can you add my blog to your blog list,www.makungujr.blogspot.com