Lala salama...Tumebakiza week mbili tu za kupendekeza blogs Hivyo kila blog unayotaka ishiriki ndio hivyo tena now or never. Tafadhali waambie watu wote muda wa kupendekeza mwaka huu ndio unaishia..
Tutaweka week hii majina yaliyopendekezwa ijumaa hii na week hii ijayo...
2 comments:
Haya mpendwa twasubiri maana subira huvuta her!i
Habari, mie nipendekeza blog yangu mbona sijaona kwenye orodha ya blog nyingine?...www.bongofilmdatabase.blogspot.com
Post a Comment