Gazeti la Watoto Linaloandikwa na Watoto

Mtoto yeyote mwenye umri wa miaka 6 - 14 anaruhusiwa kutuma picha ya kuchora, mashahiri au riwaya fupi fupi 

Wazazi au walimu wanatakiwa kuwahamasisha watoto wao na kuwasaidia katika kutafuta ideas mbalimbali ili kufankisha kazi yake iwe ya kiwango cha juu na kutuweza kuitumia katika gazeti letu.

Ili kuhamasisha watoto wengi kushiriki sasa hivi kama picha, shairi au riwaya ya mtoto wako itatumika katika gazeti letu basi mtoto wako atapatiwa $20 na certificate ya kushiriki. Wale wengine wote ambao picha zao zitakua nzuri lakini hazikufikia kiwango cha sisis kuweza kuzitumia katika gazeti letu basi tutaziweka katika website yetu na kuwatumia certificate ya kushiriki. 

Wengine wote ambao wanatututmia lakini hazikufanikiwa kutumika usikate tamaa kujaribu tena. Na kwa wale wote ambao kazi zao zitakazokua nzuri na wakitutumia mara kwa mara tukazitumia katika gazeti letu basi tutaweza kuwatumia katika kama illustrators wa riwaya tunazozipokea na kuwalipa. 

Sio lazima kuchapisha  riwaya. yako. Unaweza kuandika kwa kutumia kalamu halafu unapiga picha kila ukurasa na kututumia. Lakini hakikisha mwandiko wako unasomeka vizuri au omba mtu mwenye mwandiko mzuri akuandikie.  Riwaya ambazo hatutaweza kusoma palagraph ya kwanza hatutaiangalia tena au kukuulizia uandike tena viuri. Riwaya yako isizidi maneno 1500

Mashairi sio lazima yawe yanaishia na maneno yanayofanana. 

Mwisho kwa wale watakaopenda kutangaza kwenye gazeti letu ili tuweze kuwahamasisha watoto wengi zaidi angalia media kit yetu hapa katika link hii. 

http://www.kwanzapress.com/Toto%20Shine%20media%20kit.pdf



No comments: