Vyeti vya Ushindani

Niliomba watu wanaotaka vyeti vyao waniandikie na katika heading nilikua nahitaji tu mtu anandike title ya kuwa anahitaji cheti hicho. Kuna walioandika hivyo na wengine wameandika title nyingine bali kwenye email zao wameonyesha kuwa wanahitaji vyeti hivyo. Tatizo ni kuwa emails zinazoingia kwenye hiyo email account ni nyingi sana. Sasa muda wa kuchambua moja moja kujua ni ipi inahitaji cheti na ipi zinaulizia kitu fulani utakua mwingi sana, hivyo nimeamua kuwa nitavipost vyote hapa kwa yeyote yule anayehitaji anaweza download hapa hapa. Badge zitafuata baadaye.

Kuna ambao walikua wanahitaji niwatumie vyeti vyao kwa mail box. Ukweli ni kuwa sitaweza kufanya hivyo. Kila cheti kitakua hapa. 

Na pia jinsi nilivyotoa vyeti ni kama mwaka jana. najua wengi huwa wnasema nimewapa tofauti ndio, kuna wakati makosa yanaweza kutokea lakini jinsi nilivyoweka ni hivi:-

1. Winner
2. 1st Runner Up
3. 2nd Runner Up

No comments: