Vipengele vingine tutaviweka leo mchana...

Bado tunamalizia kukagua vipengele vilivyobakia tutaviweka mchana huu .......na kuna blogs ambazo tumeziona zilipendekezwa kwa kutumia email account ya nomination@bloggerassociationoftanania.com  Niliiondoa mapema sana baada ya kuona kuwa watu watatuma kwa email accounts zote wakiwa wanapendekeza blogs zao. Kumbe mapema haikuwa mapema enough na kuna waliotumia email ile tu na nilikua sijaiforward kwa hawa vijana waliokua wanakusanya hizi blogs.. Jana kuna mtu aliniambia amewapa watu email account hiyo wapendekeze blog yake na haioni katika blogs zilizopendekezwa. Ndio nikakumbuka na kuingia kuangalia. 

Nimeona blog kadhaa zilipendekezwa kwa kupitia huko. Hivyo hizo blogs mnazoziona zimeengezwa ni kuwa zitukuzipata wakati nilipoletewa haya majina hapo mwanzoni. Hizo ilipendekezwa kwa kupitia hiyo email account nyingine.

Samahani kwa usumbufu.

No comments: